sw_job_text_reg/24/15.txt

1 line
270 B
Plaintext

\v 15 Pia, mzinifu hungoja wakati wa usiku; husema, 'Hakuna anionaye.' Hujibadilisha. \v 16 Waovu huingia katika nyumba gizani, lakini hujifungia wakati wa mchana; hawajari nuru. \v 17 Kwa kuwa asubuhi kwao wote ni kama giza totoro; wanaamani na vitisho vya giza totoro.