sw_job_text_reg/24/11.txt

1 line
231 B
Plaintext

\v 11 Masikini wanazalisha vinono ndani ya nyumba za waovu; wanakamua zabibu kwenye mashinikizo ya waovu, lakini wao hawanywi wanakiu. \v 12 Watu wananung'unika mjini; waliojeruhiwa wanaomboleza, lakini Mungu hasikilizi maombi yao.