sw_job_text_reg/22/23.txt

1 line
223 B
Plaintext

\v 23 Ukimrudia Mwenyezi, utajengwa, ukiacha kutenda uovu makaoni mwako. \v 24 Weka hazina zako mavumbini, kama dhahabu ya Ofiri kati ya mawe ya vijito, \v 25 na Mwenyezi atakuwa hazina zako, atakuwa fedha ya thamani kwako.