sw_job_text_reg/20/17.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 17 Yeye hatafurahia vijito vya maji, wingi wa asali na siagi. \v 18 Yeye atayarudisha matunda ya kazi yake na hataweza kuyala; yeye hatafurahia utajiri alioupata kwa biashara zake yeye. \v 19 Kwa kuwa yeye amewakandamiza na kuwasahau watu maskini; yeye kwa uonevu, amezichukua mbali nyumba ambazo hakuzijenga yeye.