sw_job_text_reg/17/13.txt

1 line
416 B
Plaintext

\v 16 \v 13 Tangu mimi nitazame katika Kuzimu kama nyumbani kwangu; tangu Mimi nimetandaza kiti changu katika giza; \v 14 tangu Mimi nimesema na shimo 'Wewe ni baba yangu,' ni kama funza, 'Wewe ni mama yangu au dada yangu; \v 15 liko wapi tena tumaini langu? Kama kwa tumaini langu, nani awezaye kuona chochote? 16 Tumaini litakwenda pamoja na mimi katika milango ya Kuzimu wakati sisi tutakapokwenda katika mavumbi?