sw_job_text_reg/17/04.txt

1 line
229 B
Plaintext

\v 4 Kwa kuwa wewe Mungu umeitunza mioyo yao kutoka katika ufahamu; kwa hiyo, wewe hautawaheshimisha wao juu yangu mimi. \v 5 Yeye ambaye huwapinga rafiki zake hadharani, kwa ajili ya tuzo, macho ya watoto wake yatashindwa kuona.