sw_job_text_reg/01/09.txt

1 line
556 B
Plaintext

\v 9 Kisha Shetani akamjibu BWANA na kusema, "Je Ayubu amcha Mungu bila sababu? \v 10 Wewe hukumwekea kinga pande zote, kuzunguka nyumba yake, na kuzunguka vitu vyote alivyo navyo kutoka kila upande? Wewe umebariki kazi za mikono yake, na mifugo yake imeongezeka katika nchi. \v 11 Lakini sasa nyosha mkono wako na uyadhulu yote hayo aliyonayo, na uone kama hatakufuru mbele ya uso wako." \v 12 BWANA akamwambia Shetani, "Tazama, hayo yote aliyonayo unauwezo nayo. Isipokuwa usimdhulu mwili wake usinyoshe mkono wako." Kisha Shetani akatoka mbele za BWANA.