sw_job_text_reg/01/04.txt

1 line
452 B
Plaintext

\v 4 Kwa siku yake ya kuzaliwa kila mtoto wa kiume, hufanya karamu katika nyumba yake. Wakatuma na kuwaita dada zao watatu waje kula na kunywa pamoja nao. \v 5 Baada ya siku za karamu zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma mtu kwao na kuwaleta na kuwatakasa. huamka asubuhi na mapema na kutoa sadaka za kuteketezwa kwa kila mtoto wake, kwa kusema, "Yawezekana kwamba wanangu wamefanya dhambi na kumkufuru Mungu mioyoni mwao." Siku zote Ayubu alifanya hivi.