sw_job_text_reg/42/15.txt

1 line
294 B
Plaintext

\v 15 Katika nchi yote hawakupatikana wanawake wazuri kama mabinti wa Ayubu. Baba yao aliwapa urithi miongoni mwa kaka zao. \v 16 Baada ya haya, Ayubu aliishi miaka 140; aliwaona wana wake na wana wa wanawe, hata kizazi cha nne. \v 17 Basi Ayubu alifariki, akiwa mzee na akijawa na siku nyingi.