sw_job_text_reg/42/01.txt

1 line
308 B
Plaintext

\v 1 Kisha Ayubu akamjibu Yahweh na kusema, \v 2 "Ninajua kwamba unaweza kufanya mambo yote, ya kuwa hakuna kusudi lako linaweza kuzuiliwa. \v 3 Ni nani huyo ambaye pasipo maarifa huificha mipango? Kwa kweli nilisema mambo ambayo sikuyaelewa, mambo magumu kwangu kuyafahamu, ambayo juu yake sikujua chochote.