sw_job_text_reg/40/19.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 19 Yeye ni mkuu wa viumbe vya Mungu. Ni Mungu pekee, ambaye alimwumba, anaweza kumshinda. \v 20 Kwa kuwa milima humpatia chakula; hayawani wa mashambani hucheza karibu. \v 21 Hujilaza chini ya mimiea ya kivuli katika makao ya mianzi, na katika bwawa la matope.