sw_job_text_reg/40/12.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 12 Mwangalie kila mmoja mwenye kiburi na umweke chini; wakanyage chini watu waovu mahali wanaposimama. \v 13 Wazike ardhini pamoja; zifunge nyuso zao katika sehemu zilizositirika. \v 14 Ndipo pia nitakapokubali ya kwamba mkono wako wa kulia waweza kukuokoa.