sw_job_text_reg/40/06.txt

1 line
176 B
Plaintext

\v 6 Kisha Yahweh akamjibu Ayubu kutoka katika dhoruba kali na kusema, \v 7 "Jifunge sasa mkanda kiunoni mwako kama mwanaume, kwa kuwa nitakuuliza maswali, nawe lazima unijibu.