sw_job_text_reg/40/01.txt

1 line
172 B
Plaintext

\v 1 Yahweh aliendelea kuongea na Ayubu na kusema, \v 2 "Je mtu yeyote anayetaka kukosoa na ajaribu kumsahihisha Mwenye enzi? Na yeye anayehojiana na Mungu, na ajibu yeye."