sw_job_text_reg/29/20.txt

1 line
250 B
Plaintext

\v 20 Heshima yangu ni mpya daima, na nguvu za upinde wangu zipo katika mkono wangu kila wakati. \v 21 Watu walinisikiliza; walinisubiri; walisikiliza ushauri wangu. \v 22 Nilipo maliza kuongea hawakunena tena, maneno yangu yaliwatia nguvu kama mvua.