sw_job_text_reg/29/11.txt

1 line
282 B
Plaintext

\v 11 Kwani baada ya kunisikia, wangenibariki; waliponiona, wangeniona na kuniheshimu \v 12 kwa maana nilikuwa nikiwasaidia masikini waliokuwa wakiteseka, na yatima, asiye na msaada. \v 13 Baraka zao waliokuwa karibu kuangamia zilinipata; niliufanya moyo wa mjane kuimba kwa furaha.