sw_job_text_reg/29/07.txt

1 line
168 B
Plaintext

\v 7 Nilipokwenda langoni mwa mji, nilipokaa katika eneo la mji, \v 8 vijana waliniona na walikaa mbali kwa kuniheshimu, na wazee waliinuka na kusimama kwa ajili yangu.