sw_job_text_reg/29/04.txt

1 line
296 B
Plaintext

\v 4 Ee, kwamba ningekuwa kama nilivyokuwa katika siku za ujana wangu uhusiano wangu na Mungu ulivyokuwa mzuri, \v 5 wakati Mwenyezi alipokuwa pamoja nami, na wanangu walipokuwa karibu nami, \v 6 wakati maisha yangu yalipokuwa yamejawa na utele, na mwamba uliponichuruzishia chemichemi za mafuta.