sw_job_text_reg/28/26.txt

1 line
219 B
Plaintext

\v 26 Aliiwekea mvua tamko na njia ya radi na munguromo. \v 27 Kisha akaiona hekima na kuitangaza; aliianzisha, bila shaka, na kuipima. \v 28 Aliwambia watu, 'Tazameni, kumcha Bwana - ni hekima; kuacha uovu ni ufahamu."