sw_job_text_reg/28/18.txt

1 line
177 B
Plaintext

\v 18 Hailinganishwi na marijani wala yaspi; hakika, thamani ya hekima inapita madini ya rubi. \v 19 Topazi ya Ethiopia hailinganishwi nayo; wala kuthamanishwa kwa dhahabu safi.