sw_job_text_reg/28/12.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 12 Hekima itakuwa wapi? Mahali pa ufahamu ni wapi? \v 13 Mtu hafahamu thamani yake; wala haipatikani katika nchi ya walio hai. \v 14 Vilindi vya maji chini ya nchi husema, 'Haiko kwangu'; bahari husema, 'Haipo pamoja nami.'