sw_job_text_reg/21/31.txt

1 line
267 B
Plaintext

\v 31 Ni nani atakaye ituhumu siku ya mwovu mbele yake? Ni nani atakayemwadhibu kwa alichokifanya? \v 32 Hata hivyo atapelekwa kaburini; watu wataliona kaburi lake. \v 33 Udongo wa bondeni utakuwa mtamu kwake; watu wote watamfuata, hata kuwe na watu wengi mbele yake.