sw_job_text_reg/21/22.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 22 Je kuna mtu anaweza kumfundisha Mungu maarifa kwa kuwa yeye huwaukumu hata walio juu? \v 23 Mtu mmoja ufa katika nguvu zake kamili, akiwa na utulivu kabisa na kwa amani. \v 24 Mwili wake hauna uhitaji, na kiini cha mifupa yake ina unyevu na afya njema.