sw_job_text_reg/21/19.txt

1 line
305 B
Plaintext

\v 19 Mnasema, 'Mungu huweka hatia ya mtu kwa watoto wake kuilipa.' Na alipe yeye mwenyewe, ili kwamba aweze kujua hatia yake mwenyewe. \v 20 Acha macho yake yaone uangamivu wake mwenyewe, na acha anywe gadhabu ya Mwenyezi. \v 21 Kwani anaangaliaje familia yake mbele yake idadi ya miezi yake inapokwisha.