sw_job_text_reg/21/13.txt

1 line
276 B
Plaintext

\v 13 Wanatumia siku zao katika mafanikio, na wanashuka kuzimu kwa utulivu. \v 14 Wanamwambia Mungu, 'Ondoka kwetu kwani hatutaki ufahamu wowote juu ya njia zako. \v 15 Mwenye enzi ni nani, hata tumwabudu? Tutafaidika na nini tukimwabudu? Tutapata faida gani ikiwa tutamwomba?