sw_job_text_reg/21/10.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 10 Dume lao la ng'ombe linazalisha; halishindwi kufanya hivyo; ng'ombe wao anazaa na hafishi ndama wake akiwa mchanga. \v 11 Wanawapeleka wadogo wao kama kundi la kondoo, na watoto wao hucheza. \v 12 Wanaimba kwa tari na vinubi na hufurahi kwa muziki na zomari.