sw_job_text_reg/21/07.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 7 Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, wanazeeka, na kuwa na uwezo katika madaraka? \v 8 Wazao wao wanathibitishwa mbele zao, na uzao wao unaimarika machoni pao. \v 9 Nyumba zao ziko salama mbali na hofu; wala fimbo ya Mungu haiko juu yao.