sw_job_text_reg/21/04.txt

1 line
223 B
Plaintext

\v 4 Lakini kwangu mimi, malalamikio yangu ni kwa mtu? Kwa nini nisiwe mwenye subira? \v 5 Nitazameni na mshangae, nanyi wekeni mkono wenu midomoni mwenu. \v 6 Ninapoyafikiria mateso yangu, ninaumizwa, mwili wangu unaogopa.