sw_job_text_reg/21/01.txt

1 line
175 B
Plaintext

\v 1 Kisha Ayubu akajibu na kusema, \v 2 "Sikilizeni hotuba yangu kwa makini, hii na iwe faraja yenu. \v 3 Nimeteswa, lakini pia nitasema; nikisha kusema, endeleeni kudhihaki.