sw_job_text_reg/16/15.txt

1 line
267 B
Plaintext

\v 15 nguo ya magunia juu ya ngozi yangu; Mimi nimeisukuma kwa nguvu pembe yangu ndani ya ardhi. \v 16 Uso wangu ni mwekundu na kuomboleza; juu ya ngozi inayofunika macho kuna kivuli cha mauti \v 17 ingawa hakuna dhuluma katika mikono yangu, na kuomba kwangu ni safi.