sw_job_text_reg/16/01.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 1 Ndipo Ayubu akajibu na kusema, \v 2 "Mimi nimevisikia vitu hivyo vingi; ninyi nyote ni wafariji wenye kuhuzunisha. \v 3 Maneno yenye upuuzi daima yanaweza kuwa na mwisho? Nini kimeharibika kwenu kwamba mnajibu kama hivi?