sw_job_text_reg/15/22.txt

1 line
313 B
Plaintext

\v 22 Yeye hafikiri kwamba yeye atarudi kutoka katika giza; Upanga humngojea yeye. \v 23 Yeye huenda sehemu mbali mbali kwa ajili ya mkate, akisema, 'Kiko wapi? ' Yeye anatambua kuwa siku ya giza iko mkononi. \v 24 Dhiki na mateso makali humfanya aogope; wao hushinda dhidi yake yeye, kama mfalme tayari kwa vita.