sw_job_text_reg/15/12.txt

1 line
330 B
Plaintext

\v 12 Kwa nini moyo wako wewe unakupeleka mbali? Kwa nini macho yako yananga'ra, \v 13 ili ya kwamba kuirejesha roho yako kwa Mungu na kuyatoa maneno hayo kutoka katika mdomo wako? \v 14 Je, mwanadamu yeye ni nini kwamba yeye anapaswa kuwa safi? Yeye mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ni nini kwamba yeye anapaswa awe mwenye haki?