sw_job_text_reg/15/04.txt

1 line
284 B
Plaintext

\v 4 Dhahiri, wewe wafifisha heshima ya Mungu; Wewe wazuia heshima kwa yeye, \v 5 kwa maana uovu wako hufundisha midomo yako; Wewe wachagua kuwa na ulimi wa mtu mwenye hila. \v 6 Mdomo wako mwenyewe hukukukumu wewe, siyo wangu; hakika, midomo yako mwenyewe hushuhudia dhidi yako wewe.