sw_job_text_reg/15/01.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 1 Ndipo Elifazi Mtemani alijibu na kusema, \v 2 Mtu mwenye hekima anapaswa kujibu kwa maarifa yasiyofaa na kujijaza mwenyewe na upepo wa mashariki? \v 3 Anapaswa kuhojiana na mazungumzo yasiyo na faida au na hotuba ambazo kwa hizo yeye hawezi kufanya mema?