sw_job_text_reg/13/23.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 23 Je, maovu yangu na dhambi zangu ni ngapi? Nijulishe kosa langu na dhambi yangu. \v 24 Kwa nini unaficha uso wako kutoka kwangu mimi na kunitendea mimi kama adui yako? \v 25 Je, wewe utalitesa jani linalopeperushwa? Je, utaendelea kulifuatilia bua kavu?