sw_job_text_reg/13/06.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 6 Sikia sasa kuhoji kwangu; Sikiliza kusihi kwa midomo yangu mwenyewe. \v 7 Ninyi mtazungumza visivyo haki kwa ajili ya Mungu, na ninyi mtazungumza udanganyifu kwa yeye? Ni kweli ninyi mngeonyesha ukarimu kwa yeye? \v 8 Ni kweli ninyi mngetetea katika mahakama kama mawakili wa Mungu?