sw_job_text_reg/11/04.txt

1 line
338 B
Plaintext

\v 4 Kwa kuwa wewe unasema kwa Mungu, 'Imani yangu ni safi, Mimi sina waa lolote machoni pako.' \v 5 Lakini, laiti, Mungu huyo angesema na kufungua midomo yake dhidi yako; \v 6 hivyo angekuonyesha wewe siri za hekima! Kwa kuwa yeye ni mkuu katika ufahamu. Tena tambua huyo Mungu anataka kutoka kwako kidogo kuliko uovu wako unavyostahili.