sw_job_text_reg/11/01.txt

1 line
309 B
Plaintext

\v 1 Ndipo Sofari Mnaamathi alijibu na kusema, \v 2 " Huo wingi wa maneno haupaswi kujibiwa? Mtu huyu, aliyejaa maneno mengi awe wa kuaminiwa? \v 3 Kujivuna kwako kunapaswa kuwafanya wengine wabaki wamenyamaza? Wakati unapoyadhihaki mafundisho yetu, hakuna awaye yote atakayekufanya wewe ujisikie mwenye aibu?