sw_job_text_reg/10/20.txt

1 line
320 B
Plaintext

\v 20 Je si siku zangu pekee ni chache? Acha basi, usinisumbue, ili kwamba nipate kupumzika kidogo \v 21 kabla sijaenda huko ambako sitarudi, kwenye nchi ya giza na kivuli cha mauti, \v 22 ni nchi ya giza kama usiku wa manane, nchi ya kivuli cha mauti, isiyokuwa na mpangilio, ambayo nuru yake ni kama usiku wa manane.'"