sw_job_text_reg/10/12.txt

1 line
270 B
Plaintext

\v 12 Wewe umenizawadia mimi uhai na ahadi ya upendeleo na usaidizi wako umeilinda roho yangu. \v 13 Hata hivyo mambo haya uliyaficha moyoni mwako - nafahamu kwamba hivi ndivyo ufikirivyo: \v 14 kuwa kama nimefanya dhambi, wewe utaizingatia; hutaniachilia na uovu wangu.