\v 20 Wakati wa njaa atakukomboa na kifo, na kwa uwezo wa upanga wakati wa vita. \v 21 Wewe utafichwa na mateso ya ulimi; na usitishike na uharibifu utakapokuja. \v 22 Wewe utaufurahia uharibifu na njaa, na hutatishika na wanyama wakali wa nchi.