sw_job_text_reg/41/04.txt

1 line
313 B
Plaintext

\v 4 Je atafanya agano na wewe, ili kwamba umchukue kwa ajili ya mtumishi milele? \v 5 Je utacheza pamoja naye kama ambavyo ungecheza na ndege? Je utamfunga kwa ajili ya mtumishi wako wa kike? \v 6 Je makundi ya wavuvi waweza kumfanyia biashara? Je watamgawanya ili kufanya biashara miongoni mwa wafanya biashara?