\v 19 Je umempa farasi nguvu zake? Je umeivika shingo yake kwa manyoya? \v 20 Je umemfanya aruke kama panzi? Enzi ya mlio wake ni wa kutisha.