sw_job_text_reg/39/03.txt

1 line
172 B
Plaintext

\v 3 Wanainama chini na kuzaa watoto wao, na kisha maumivu yao ya uzazi yanaishi. \v 4 Watoto wao huwa na nguvu na kukua katika uwanda wa wazi; hutoka nje na hawarudi tena.