sw_job_text_reg/38/08.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 8 Ni nani huifunga bahari kwa milango wakati inapofurika, kana kwamba inatoka katika tumbo, \v 9 wakati nilipoyafanya mawingu kuwa ni mavazi yake, na giza nene kuwa mkanda wake wa kujifungia?