\v 22 Angalia, Mungu ameinuliwa katika nguvu zake; ni nani aliye mwalimu kama yeye? \v 23 Ni nani alishamwalekeza njia yake? Nani anayeweza kumwambia, 'Wewe umetenda mambo yasiyo ya haki?' \v 24 Kumbuka kuyasifu matendo yake, ambayo watu wameyaimba.