sw_job_text_reg/34/26.txt

1 line
279 B
Plaintext

\v 26 Huwaua kwa matendo yao mabaya kama wakosaji dhahiri mbele za watu wengine \v 27 kwasababu wamegeuka na kuacha kumfuata yeye na wamekataa kuzisadiki njia zake zozote. \v 28 Na kwa namna hii, wamekifanya kilio cha watu masikini kimfikie; amekisikia kilio cha watu walioteswa.