sw_job_text_reg/31/22.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 22 Ndipo bega langu na lianguke kutoka katika sehemu yake, na mkono wangu uvunjike katika kiungo chake. \v 23 Kwa kuwa niliogopa uharibifu kutoka kwa Mungu; kwasababu ya mawazo ya ukuu wake, nisingeweza kufanya mambo hayo.