sw_job_text_reg/31/07.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 7 Kama hatua zangu zimegeuka kutoka katika njia sahihi, kama moyo wangu umetembea kwa kufuata tamaa ya macho yangu, na kama doa lolote la uchafu limeng'ang'ania katika mikono yangu, \v 8 na kisha mimi nipande nafaka na mtu mwingine ale; mavuno niliyoyapanda na yang'olewe katika shamba langu.